Mahakama ya Mombasa imetupulia mbali msimamo wa mkuu wa sheria Amos Wako kwamba mahakama haiwezi ikaamua kesi yoyote dhidi ya shughuli ya marekebisho ya katiba. Uamuzi huo unamaanisha kwamba mkenya yeyote aliye na kesi dhidi ya shughuli inayoendelea ya kubuni katiba mpya aweza akaiwasilisha mahakamani.
没有评论:
发表评论